TUNDUMA YAJIVUNIA MATUMIZI NISHATI SAFI .USSI AKABIDHI JIKO KWA MUHITAJI




Na Ibrahim Yassin, Songwe 

Halmashauri ya mji Tunduma wilayani Mo mba mkoani Songwe,  inaendelea kuteke leza ajenda mahususi ya serikali kuhusu mat umizi ya nishati safi ya kup ikia .

Matumizi ya nishati hiyo ni sehemu ya utunzaji wa mazingi ra ,kukabiriana na changamoto ya maba diliko ya tabia nchi na athari za kiafya zina zotokana na matumi zi ya nishati isiyo safi ya kupokia.


Katika kuhakikisha agenda hii Halmashau ri ya mji Tundum  imeweza kutekeleza utoaji wa elimu na kuhamasisha jamii.

Hata hivyo baada ya kusomwa risala hiyo  kiongozi wa mbio hizo za mwenge aliongoza zoezi la ugawqji wa majiko hayo pamoja na kupanda miti katika maeneo ya shule.



Comments

Popular posts from this blog

KAEGELE NA KAZUKAMWE WAIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM WILAYANI NKASI

DIWANI KATA YA KALA AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA KIHARUSI

Mke wa Mchungaji wa kanisa la EAGT ajinyonga akihofia deni lake la fedha za kanisa