MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI DARAJ A LA BILIONI 3 MTO NKANA MSANGANO-MOMBA




Na Ibrahim Yassin, Momba

Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa daraja la Msangano katika barabara ya Chindi _Msangano linalounganisha Halmashauri ya mji Tunduma na makao makuu ya wilaya ya Momba lenye Thamani ya Tsh Bilioni 3

Kufuatia uhitaji mkubwa wa daraja kwa wananchi wa wila ya ya Momba hasa tarafa za Msangano naKamsamba zenye uzalishaji mkubwa wa Mazao ya biashara


 Halmashauri kupitia wakala wa barabara za viji jini na mijini (TAR URA) iliidhinishiwa fedha Tsh,Bilion 3 ambapo Tsh,Bilioni 2 bajeti ya mwaka 2022 na Bilion 1kwa bajeti ya 2025 zilizotolewa ni fedha toka toZo ya mafuta (Fuel Levy) kwaajili ya kuunganisha maeneo hayo na Halmashauri ya mji wa Tunduma ambako ni Soko la Mazao hayo

Yusuph Shabani ni meneja wa TARURA wilayani Momba amesema mradi huo ulianza kutekelezwa Septemba 14/ 2023 na unategemewa kukam ilika Disemba 14/ 2025 ambapo hadi sasa uje nzi umefikia asilimia 80.


Amesema kazi zilizofa nywa hadi sasa ni msi ngi wa daraja (Found at ion),ujenzi wa kuta za Daraja (Substructu re) na ujenzi wa emeo la juu la daraja (Deck sab super structure) huku kiasi cha zaidi Bilioni 1.598 kikitum ika.

Amesema mradi huu ukikamilika utakuwa msaada kwa wananchi kwa kufungua mawa siliano ya barabara na kuinua uchumi wa wananchi wa wilaya hiyo kwa kuunganisha maeneo ya uzalishaji na Masoko.

Amesema faida nyingine ni ukuaji wa makao makuu ya wilaya na kukuza uchumi wa wananchi kutokana na bonde hilo kuwa ni la kilimo na ufugaji.

Baada ya kutolewa maelezo hayo ,kion gozi wa mbio za mwen ye kitaifa Ismail Ally Ussi, alilidhishwa na mradi huo huku akisis itiza kasi zaidi iongez we kutokana na umuhi mu wa daraja hilo.



Samwel Isaka mkazi wa Msangano baada ya kukamilika kazi ya uwekaji jiwe la msingi Amesema serikali imewafuta machozi ya wananchi.

Amesema miaka ya hivi karibuni watu walipotez maisha wakati wakivuka kwenye maji ya mto huo kwenda upande wa pili.

Nae Sifael Nakandonga mkazi wa Msangano Amesema nyakati za mvua za masika wanalazimika kuvuka kwa kupanda mtumbwi wakilipa fedha hadi 7.000 kwenda upande wa pili na wakiwa na mazao wanapata shida kuvusha mazao na kusababisha wapate hasara kubwa kwa kushuka kwa thamani ya Mazao

Amesema serikali imefanya kazi kubwa kuwajengea mradi huo akiwa na uhakika kukuza uchumi wao na kuondokana na hata ri ya kupoteza maisha




Comments

Popular posts from this blog

KAEGELE NA KAZUKAMWE WAIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM WILAYANI NKASI

DIWANI KATA YA KALA AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA KIHARUSI

Mke wa Mchungaji wa kanisa la EAGT ajinyonga akihofia deni lake la fedha za kanisa