MWENGE WA UHURU WARIDHISHWA UJENZI KITUO CHA AFYA CHIWEZI TUNDUMA


Na Ibrahim Yassin,  Tunduma.

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Ismail Ally Ussi ameridhishwa na ujenzi wa kituo cha afya Chiwezi iliyopo Halmashauri ya mji Tunduma na kuweka jiwe la msingi.

Ussi amesema kituo hicho kimekuwa ni cha mfano kwani kituo kama hicho alikiona  Dar es laam  na  Dod oma  pekee kutokana na uzuri wake.


Amesema Rais Dr ,Samia katika kipindi chake cha miaka 5 iliyopita alifanya kazi kubwa ya kujenga miradi inayogusa jamii.

Kituo hicho cha afya Chiwezi  kimejengwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Halmash auri ya mj Tunduma,Serikali Kuu pamoja na mchango ya wananchi. 

Utekelezaji wa mradi huo ulianza Julai 21/ 2021 hadi 2023 kwa force account, na kukamilisha jengo la huduma za nje ( OPD), ukigharimu Tsh,794,997,890.00 kati ya hizo Tsh,500,00 0,000.00 ni fedha tok a Serikali Kuu, ambaz o zililenga kujenga majengo 6 ambayo ni( OPD) iliyokamilika ambapo kiasi cha Tsh,286,9 85,890.00 ni mapato ya ndani  ambapo Tsh, 8,012,00 0.00 ni nguvu za wananchi .

Majengo yaliyojengwa ni jengo la huduma za nje, jengo la upasua ji,Maabala kichomea taka ,njia za kupitia wagonjwa,jengo la mama na mtoto ,jen go la kuhifadhia maiti,jengo la kuful ia , na uzio.


Akizungumzia hali hiyo, mganga mfawid  hi wa kituo hicho, Mat hias Kulangwa amese ma kituo hicho kinah udumia wakazi wa 10,540 wa mitaa iliyo po kata ya Chiwezi pamoja na kijiji jirani cha Chindi kilichopo Halmashauri ya Momba.

Amesema kukamilika kwa kituo hicho kutawapunguzia wananchi umbali wa kufuata huduma za afya kwenye kituo cha afya Tunduma na hospital ya mji iliyopo Mpemba. 


Baada ya maelezo hayo,mkimbiza mwenge wa uhuru kitaifa Ismail Ally Ussi aliweka jiwe la msingi akiridhishwa na mradi huo

Comments

Popular posts from this blog

KAEGELE NA KAZUKAMWE WAIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM WILAYANI NKASI

DIWANI KATA YA KALA AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA KIHARUSI

Mke wa Mchungaji wa kanisa la EAGT ajinyonga akihofia deni lake la fedha za kanisa