DED MANOZA WA MOMBA AMKABIDHI MWENGE DED CHAUREMBO WA TUNDUMA
Na Ibrahim Yassin,Tunduma
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wil aya ya Momba Fabian Manoza leo Octoba 3 / 2025 na kumkabidhi mwenzake wa Tundum a tayari kwa kutembe lea miradi.
Ded Manoza amemka bidhi Ded Chaurembo wakimbiza mwenge 6 pamoja na maafisa wengine baada ya mwenge huo jana kumulika miradi Halmashauri ya Momba.
Akiupokea mwenge huo mkurugenzi mten daji wa halmas hauri ya mji Tundum a Mariam Chaurembo amesema yupo tayari kuupokea mwenge huo.
Amesema mwenge huo leo utakaguq na kuweka mawe ya msingi miradi 10 yenye thamani ya Bilioni 3.11 na utazunguka kilometa 84.5 .
Makabidhiano hayo yalisimamiwa na mkuu wa wilaya ya Momba Elias Mwandobo mbele ya mkimbiza mwenge kitaifa Ismail Ally Ussi.



Comments
Post a Comment