SERIKALI YA ANZA UJENZI VITUO VYA ASKARI WANYAMA PORI -RUKWA



Na Baraka Lusajo,Rukwa

Serikali kupitia shirika la hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA) imeanza mkakati wa kukabilina na kupambana na wanyama wakali na waharibifu wakiwemo tembo ambao wamekuwa wakisababisha vifo,kujeruhi na kuharibu mazao kwa kujenga vituo vyenye askari wenye mafunzo maalumu na silaha za kukabilina na wanyama katika vijiji 16 vinavyozunguka hifadhi ya mazingira asilia Kalambo mkoani Rukwa.

Mapema akiongea wakati wa ziara ya kutembelea maeneo ya hifadhi Kamishina msaidizi mwandamizi wa uhifadhi na mkuu wa Kanda ya Nyanda za juu kusini (TANAPA) ndugu Godwell Ole Meing’ataki,amesema vituo hivyo vinajengwa maeneo yenye changamoto ya wanyama wakali na waharibufu,wakiwemo Tembo ambao wamekuwa wakileta migogoro kwa wananchi wanaoishi jirani na hifadhi.

-ACC- GODWELL OLE MEING’ATAKI - MKUU WA HIFADHI ZA (TANAPA) KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI.

Kwa upande mhifadhi mwandamizi wa wakala wa huduma za misitu Tanzania TFS wilayani Kalambo ndugu Brayson Mkiwa, amesema uwepo wa vituo hivyo utasaidia kumairishwa kwa doria ndani ya hifadhi.

Comments

Popular posts from this blog

KAEGELE NA KAZUKAMWE WAIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM WILAYANI NKASI

DIWANI KATA YA KALA AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA KIHARUSI

Mke wa Mchungaji wa kanisa la EAGT ajinyonga akihofia deni lake la fedha za kanisa