Wahitimu chuo cha Manyara waomba mikopo ili wajiajili
Na Ibrahim Yassn, Mbeya
WAHITIMU 12 kati ya 50 wa chuo cha The manya ra College kilichopo wilayani Kyela mkoani Mbeya wameiomba serikali kuwawezesha mikopo ya asi limia 10 ili wapate mitaji wafungue viwanda vidog o.
Wakizungumza jana wakati wa mahafari ya 13 ya chuo hicho, wahitimu hao wamesema baada ya kumaliza kidato cha 4 walijiunga na chuo hicho ili wapate ujuzi wa fani mbalimbali ili waweze kujiajili pindi wapatapo mitaji.
Spora Frank muhitimu wa chuo hicho na mkazi wa Singida vijijini amesema alisafiri kuja Kyela kusoma.xhuo hicho baada ya kugundua sifa zake na kwanba amesomea ususi n baada ya mahafari haya ataenda kufungua saloon.
Emmanuel Itumba kutoka Singida mjini alisem a.kumekuwa na tatizo la ajira nchini lakini kwa ujuzi walioupata na kwamba tayari mkurugenzi amewatafutia kazi keenye kampuni za mikoani kulingana na fani husika.
Hindu Muhammed muhitimu wa chuo hicho na mkazi wa jijini Dar es Salaam alisema alisafiri ku ja kusoma The Manyara College baada ya kuam biwa na watangulizi wake tabia ya mku rugenzi kuwatafutia ajira wanafunI wake na baada ya kuhi timu tayari amepata hotel ya kufanya kazi.
Nae Zabron Zuberi mkazi wa.Mwanza aliyehitimu katika chuo hicho masomo ya utalii amesema tayari ametafutiwa kazi na mkurugenzi wa chuo hicho kutekeleza watalii kwenye mbuga za wanyama.
"Nafahamu jinsi ajira ilivyokuwa ngumu lakini chu o hiki kinaunga jitihada za seeikali kutup ambania vijana tunaomaliza mafunzo kututafutia ajira, rai yangu serikali na wadau wengine wakiunge mkon o.chuo hiki ili kiwe na wanafunzi wengi "amesema Zuberi.
Katika risala yao kwa mgeni rasmi wanafunzi hao wamesema changamoto iliyopo.ni chuo kimeku wa kikipanga nyumba hivyo wamepata kiwanja wanahitaji msaada wa hali na.mali waweze kujen ga chuo chao wahepukane na kupandishiwa kodi ya pango.
Wanahitaji kujenga vyumba 3 vya madarasa vyenyebThamaninya Tsh,Milioni 3 hivyo wan ahitaji sapota ya wadau akiwemo mgeni rasmi kukamiliaha ujenI huo.
Mkuu wa chuo hicho Brayton Magige alisema tayari wahitimu wote wametafutiwa ajira kwani ninavyo wapokea huwa ninawarengenezea nafasi za ajira wakiwa chuoni.
Alisema chuo kilianzishwa mwaka.2010 ha hayo ni mahafari ya 13 na hakuna mwanafunzi aliyehit imu chuoni hapo akakosa ajira hivyo vijana wa Kyela.wanatakiwa kujiunga kupata mafunzo.
""Asilimia kubwa ya wanafunzi ni wa kutoka mikoa ya Mwanza,Njombe, Singida, Kigoma, Dodoma .Zanzibar na Dar es Salaam na.kwamba mwaka huu wamejipanga kuongeza kozi na kutanua wigo wa ajira"alisema Magige.
Mgeni rasmi katika mahafari hayo Babylon Mwakyambile alisema.anafurahi kuona chuo hicho kinaunga jitihada za Serikali kutoa.ajira kwa.vijana.
Alisema.uwepo wa chuo hicho wilayani hapa ni fursa kwa vijana japo sijaona vijana wa Kyela kusoma waliopo wengi ni wa kutoka mikoa min gine huku akiahidi kusaidia ujenzi wa.chuo hicho.
Mwakyambile ambaye pia ni mkurugenzi wa.kiwa nda cha Covenant Edible oil kilichop o.Kyela alis ema.pindi wakianza ujenzi atapeleka mchango wake kuhakikisha chuo kinakamilika.




Comments
Post a Comment