Shule za Kamsamba na Tunduma day zapata wenyeviti wapya wa bodi
Na Ibrahimu Yassin,Songwe
WAJUMBE wa kamati ya bodi shulya shule ya sekondari ya Kamsamba na shule ya kutwa ya Tunduma zinazomilikiwa na jumuiya ya wazazi (CCM) mkoani Songwe wachagua wenyeviti watakao ongoza vikao..anaripoti Ibrahim Yassin. Songwe.
Uchaguzi huo umefanikiwa leo Juni 4/2024 katika shule ya sekondari ya kutwa iliyopo halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba huku mgeni ra smi akiwa afisa elimu sekondari mkoani Sogwe.
Katika uchaguzi huo mjunbe Ombeni Nanyaro am echaguliwa kuwa mwenyekiti wa bodi wa shule ya Kamsamba na Neema Lwila amecha guliwa ku wa mwenyekiti wa bodi Shule ya kutwa Tunduma.
Akizungumza baada ya uchaguzi huo afisa elimu taaluma wilayani Momba aliyemuwakilisha afisa elimu mkoa Michael Chawene amesema kupatik ana kwa bodi hizo anaamini usimamizi wa shule na ufauru kwa ujumla utakuwa mzuri.
Neema Lwila baada ya kuchaguliwa amesema kazi iliyopo ni kuhakikisha shule inabirrshwa na kuondoa alama 4 na 3 ili kuwe na ufauru wa ala ma 1 na 2 na ndiyo maana wamempa muwek ezaji anaisimamia shule hiyo.
Nae Ombeni Nanyoro mwenyekiti wa bodi shule ya Kamsamba amesema hii imekuwa ni Sehemu ya kutoa sadaka kwa watoto kwani mbali na kuwe ka mfumo wa maji safi na na kukarabati bweni atahakikisha anatoa motisha kwa wanaf unzi na walimu ili kuongeza ufauru wa alama A.
""Ili kufanikisha hili wazazi na walezi walete wato to wasome kwani shule hiyo ina mazingira sala ma na haina O wala alama 4 kazi iliyopo ni kuhak ikisha wanafunzi wanapata chakula na malazi safi na kufuatilia kwa ukaribu mienendo yao" amese ma Nanyaro.
Kwa upande wake mkurugenzi wa Taasisi ya Ba raka Foundation Martin Mgalla amesema amep ewa kandalasi ya kuiebdesha shule hiyo na tayari ameanza kuyakarabati majengo chakavu kwa hatua ya kwanza lengo ni kufikia hatua ya 3.
Edward Silibwa mwenyekiti jumuiya ya wazazi wilayani Momba amesema kabla ya uchagizi wajumbe wa bodi za shule zote mbili wamepewa semina elekezi namna ya kuzisimamia shule hizo hivyo amaamini zitakuwa na ushindani katika ufauru.
""Kupatikana kwa bodi hizi inaenda kuwa ni mua robaini wa utatuzi wa kero zilizokuwepo, ushirik iano ni jambo la kwanza na tayari ukarabati wa miundombinu wa shule hizo umeanza ana amini uwepo wa alama A na B kwenye mutuhani ijayo" amesema Silibwa.

Comments
Post a Comment