Nanyaro awapiga jeki UVCCM Sumbawanga atoa Mil.3 ujenzi wa nyumba ya mtumishi
Na Ibrahim yassin,Sumbawanga
Mjumbe wa halmashauri kuu (ccm) mkoa wa Songwe Ombeni Nanyoro ametoa tofali 10.000 zenye thamani ya Tsh Milioni 1.2 na bandlu 6 za bati zenye thamani ya Tsh,Milion 1.8 kuanzi sha ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa chama
Nanyaro aliyekuwa mgeni rasmi jana kwenye kwe nye Baraza la Umoja wa vijana (VCCM ) wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa ambap o mjumbe huyo wa halmashauri kuu alitoa Mi lioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hiyo.
Baada ya msaada huo, Nanyaro amesema ame jiki a furaha baada ya kupewa heshima kuwa mgeni Rasmi.hivyo chama cha ccm kipo kwe nye damu haoni shida kutoa michango pale anapohitajika kuchangia.
" Ndugu wanachama nimetoka mkoani Songw e ambapo nilikuwa kwenye tukio la kutoa msaa da wa Kompute 2 mpakato pale polisi mkoa, pamoja na umbali nikaona nifike kutii heshima mliyonipa na ninawapa Milioni 3 "amesema Nanyaro.
Kwa upande wake katibu wa Jumuiya ya vijana (UVCCM ) wilayani Sumbawanga John Mwaki funa, amesema anashukuru kwa msaada.huo huku akisema frdha hizo ni haIna kubwa iliyopa ndwa kwenye Jumuiya hiyo.
"Mh mgeni rasmi fedha hizi zinatumika kununu a bati na tofali leo leo na pondi ujenzi utakapo kamil ika nitakualika uje kuizindua na kuipa bar aka, hakika umeiheshimisha Jumuiya hii mung u akuz idishie na akupe maisha marefu",am esema Mwakifuna.
Nanyaro aliingia hapa mkoani wiki iliyopita akit o kea jijini Dar es Salaam zilipo kampuni zake amba po alikuwa na matukio 2.ambayo ni ucha guzi kwe nye shule za wazazi,utoaji wa.Compu te.polisi Son gwe na hiyo ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba Sumbawanga.


Comments
Post a Comment