Mnec Mwaselela-Dkt,Samia Suluhu na Dkt,Mwinyi ni viongozi wa kuigwa Afrika
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Ndele Mwaselela (MNEC) amesema.Rais Dkt,Sam ia Suluhu na Dkt,Husein Mwinyi ni mfano wa kuig wa katika utekelezaji wa shughuri za maendeleo.
Mwaselela akiwa ameongozana na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC jana kuwakilis ha Kundi la Vijana Muhusin Ussi (MNEC) Wamefi ka wilayani Dimani amesema kazi zinazofanywa na viongozi hao ni kubwa mno.
Amesema amejionea utekelezaji mkubwa ea Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Upande Wa Bara na Visi wani ambapo miradi mikubwa na ya kati imejeng wa kw kasi.
Amesema viongozi hao wa kitaifa wamekuwa mfano bora wa Kuigwa barani Afrika katika kubo resha na kuibua fulsa za miradi mikubwa Inayole ta maendeleo kwa Taifa hili kama vile Barabara Kujengewa, Maji Kufika majumbani kwa wananchi umeme hadi ngazi ya Vijijini.
Mwaselela ambaye alikuwa ni mgeni rasmi, katika hafla ya kufunga mafunzo ya darasa la Itikadi, am bapo amewapongeza wahitimu Wote na kuwa tun uku vyeti.
Pia ametumia jukwaa hilo kuwaasa vijana kuilind a amani ya Taifa letu na kutunza Muungano wa Taifa na kuepukana na watu wanaotumia ndimu zao kuwa hadaa wananchi na kutaka kuwatumia vijana Vibaya.
Aidha kupitia hafla hiyo ameahidi kwenda kums omesha moja ya wanafunzi wahitimu katika dara sa hilo kwenda kusoma elimu ya juu katika kada ya sheria.
Mwaselela kupitia ziara hiyo amekagua ofisi ya chama cha mapinduzi wadi ya Kipungani na kupit ia mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya wilaya amekabidhi fedha kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa ofiisi hiyo pamoja na vifaa vyaa ikiwe mo Kom pyuta na Printer Kama Ilivyoombwa.
Aidha amewapongeza viongozi aa Kitaifa kwa Kufanya Kazi kubwa wanazoendelea Kuzifanya nchini na kuahidi kuwatafutia kura za ndiyo 2025 kwa gharama yeyote Ile kutokana na utendaji kazi wao uliotukuka na wanastahili miaka mitano tena.



Comments
Post a Comment