JINSI M-NEC MWASELELA ALIVYO ACHA ALAMA ZANZIBAR AKITOA MISAADA LUKUKI.



Na Ibrahim Yassin.Zanzibar

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) kutoka Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela ameacha historia ya kusisimua Zanziar alikoenda kwenye kazi za chama akiwa mgeni maalumu

Kuanzia Julai16/,2024 Mjumbe Ndele Mwaselela alihitimisha ziara yake ya siku nne Visiwani Zanzibar na kuacha tabasamu kwa wakaazi wa visiwa huvyo ambao hawakutaka aondoke.

Siku ya kwanza ya ziara yake aliagua shughuli mbalimbali za maendeleo yaliyofanywa na Ser ikali inayoongwa na Rais Dkt. Hussen Mwinyi ikiwemo kujionea huduma za Hospitali ambapo wagonjwa walieleza wazi kuwa wanatibiwa bure na kupatiwa chakula mara tatu kwa siku bure.

Pia alijionea  jinsi kila kitanda kikiwa na sehemu ya mawasiliano kati ya mgonjwa na daktari hali inayorahisisha daktari kujua hali na mahitaji ya mgonjwa kirahisi.

Kiongozi huyo pamoja na kupongeza jitihada hizo za serikali ya mapinduzi Zanzibar hakusita kutaja moyo jina la Rais Mwinyi na kuwasihi wananchi kuendelea kumuunga mkono na kuunga mkono chama chake kwa jutihada hizo.

"Nakumbuka msemo wa wahenga usemao Moyo usio na shukrani haufai kuwa sehemu ya mwili wa binadamu akimaanisha wananchi wanapaswa ku pongeza jitihada hizo za seeikali "Alisema .Mwas elela.

Hata hivyo Mwase alitoa hamasa kwa vijana kwa kuanzisha ligi ya Mpira wa miguu Dkt, Mwinyi msh ikamano cup na kutoa mipira 10 na Jezi Jozi 10 huku akiahidi kutoa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kama zawadi kwa washindi.

Jambo lingine Mwaselela alikutana na Mabalozi wa CCM na kuzungumza nao kisha akajitolea kukarabati Ofisi ya wadi (Kata) ya Dimani.

Mnec Mwaselela pia alitoa vifaa vya (TEHAMA) Computer na simu kwa ajili ya usajili wa Wanacha ma wa CCM kidigiti.

Pia mjumbe huyo lialia wa ccm alitoa tofali zote zinazohitajika kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Wilay a ya Diwani akiunga mkoni jitihada za seikali.

Na jambo la kufurahisha mjumbe huyo ambaye ni mdau wa maendeleo nchini alitoa ufadhili kwa mwanafunzi mmoja wa kike katika masomo ya Chuo kikuu.

Akizungumza kwaniaba ya wazanzibari wenzake Juma Khalfan mkazi wa Dimani alisema moja ya zawadi ama kipaji alichotunukiwa M-NEC Ndele Mwaselela ni mkono wa utoaji na kila anapokany aga huwa anaacha tabasamu kwa jamii.

Mnec Ndele Mwaselela alikuwa Zanzibar kwa ziara ya kikazi kwa siku 4 akiwa mgeni rasmi katika kila tukio amefanya jambo la kusaidia jamii na kuacha alama kwa wakazi wa Zanzibar. 


Comments

Popular posts from this blog

KAEGELE NA KAZUKAMWE WAIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM WILAYANI NKASI

DIWANI KATA YA KALA AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA KIHARUSI

Mke wa Mchungaji wa kanisa la EAGT ajinyonga akihofia deni lake la fedha za kanisa